Baraza la Mitihani la Tanzania

Matokeo

  

  

Maelekezo ya Jinsi ya Kupata Matokeo

  • HATUA YA 1 : Tafuta shule kwa kuandika namba au jina la shule (Mfano : S0101 au Azania) kwenye kisanduku kilichoainishwa

  • HATUA YA 2 : Chagua Shule/Kituo toka kwenye orodha na kisha bofya kitufe cha Kuchagua

  • HATUA YA 3 : Endapo unahitaji matokeo ya;
    1. Mtahiniwa mmoja bofya kitufe "Mtahiniwa Mmoja" na kisha weka namba yake kwenye kisanduku cha "Namba ya Mtahiniwa" (Mfano : 0510)
      kisha bofya "Wasilisha" kupata matokeo
    2. Shule au Kituo bofya kitufe "Matokeo yote ya Shule/Kituo" kisha bofya "Wasilisha" kupata Matokeo